Rais Xi Jinping wa China amesema China na Ufaransa zina wajibu wa nchi kubwa wa kufanya jumuiya ya kimataifa kuwa na mshikamano ili kukabiliana na changamoto za kimataifa katika wakati ambao mabadiliko mengi mapya yanajitokeza katika mazingira ya kimataifa.
Rais wa China Xi Jinping na Rais wa Brazil Luiz Inacio Lula da Silva wakifanya mazungumzo huko Brasilia, Brazil asubuhi ya tarehe 20, Novemba. (Xinhua) China na Brazil zimeamua kuinua uhusiano wao kwenye jumuiya yenye mustakabali wa pamoja kwa ajili ya dunia yenye haki zaidi na sayari endelevu zaidi.…
Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG), kwa kushirikiana na mkutano wa kilele wa vijana wa G20 (Y20) na sekretarieti ya Ikulu ya Brazil, jana Novemba 18 lilianzisha shughuli za Vyombo vya Habari ya Mawasiliano ya Moja kwa Moja kati ya Vijana wa Nchi za Dunia ya Kusini, na kutangaza Azimio la Vyombo vya Habari vya Nchi za Dunia ya Kusini kuhusu Kushirikiana Katika Kuhimiza Ujenzi wa Jumuiya ya Binadamu yenye Mustakabali wa Pamoja, ambalo linaungwa mkono na kushirikisha vyombo vya habari 215 kutoka nchi 74. Akiongea kwenye hafla ya kuanzishwa kwa shughuli hizo, mkuu wa CMG Bw.…
六味地黄丸适合什么人吃hcv8jop5ns3r.cn | 土豆可以做什么美食hcv8jop2ns5r.cn | 喝酒吃海带有什么危害hcv8jop2ns4r.cn | 南瓜皮可以吃吗有什么作用hcv9jop4ns2r.cn | 半夜饿了吃什么不长胖hcv9jop0ns0r.cn |
月经推迟吃什么药liaochangning.com | 心烦意乱是什么意思hcv7jop7ns0r.cn | 柚子什么时候成熟hcv9jop7ns2r.cn | opo是奶粉里的什么成分clwhiglsz.com | 干咳喝什么止咳糖浆好hcv9jop5ns8r.cn |
报工伤需要什么材料hcv9jop0ns5r.cn | 中宫是什么意思hcv8jop4ns5r.cn | 强阳下降到什么程度开始排卵hcv7jop9ns3r.cn | 萎缩性胃炎可以吃什么水果hcv8jop4ns6r.cn | 补气血喝什么口服液好hcv7jop6ns4r.cn |
血小板减少是什么原因造成的hcv9jop7ns0r.cn | prada是什么档次hcv8jop0ns0r.cn | 高压低压是什么意思naasee.com | 卡介苗是预防什么hcv8jop1ns1r.cn | 肋骨痛挂什么科hcv9jop0ns0r.cn |