

Lugha Nyingine
【每日科技】互联网电视频涨价 马云佩服王卫系误读
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 06, 2025
![]() |
Mtembeleaji maonyesho akifurahia mchezo wa mbio za baiskeli kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya Baiskeli ya China 2025 mjini Shanghai, mashariki mwa China, Mei 5, 2025. (Xinhua/Cai Yang) |
Maonyesho ya siku nne ya Kimataifa ya Baiskeli ya China 2025 yameanza rasmi jana Jumatatu kwenye Kituo cha Maonyesho cha Kimataifa cha Shanghai, mashariki mwa China yakivutia kampuni za viwanda takribani 1,600 kutoka ndani na nje ya China kushiriki.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma