

Lugha Nyingine
在征求意见截止近一年后,《汽车销售管理办...
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 28, 2025
![]() |
Wasanii wakiwa kwenye maonyesho ya sanaa ya China na Russia huko Heihe, katika Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini-mashariki mwa China, Julai 26, 2025. (Picha na Zhao Donglai/Xinhua) |
Maonyesho ya 15 ya sanaa ya China na Russia yameanza rasmi Jumamosi huko Heihe, katika Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini-mashariki mwa China yakiwa na shughuli zaidi ya 40 kwa ujumla, yakihimiza mawasiliano ya kitamaduni na ushirikiano wa kikanda kati ya nchi hizo mbili.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma